Details:

Burudika na chakula kitamu cha chips na nyama kuufanya msimu wako wa sikukuu wa kipekee. Ukiwa Dodoma, unastahili chakula safi na kitamu kwa Bei nafuu zaidi.