Msimu huu wa sikukuu tunakupatia kitu roho inapenda. Pata mapaja ya kuku yaliyoandaliwa kwa ustadi mkubwa ili kufanya wakati wako kwenda vema kabisa.